MetaTrader 5 (MT5)

Fanya trade ya CFD kwenye instruments unazopendelea za kutrade kwa kutumia MetaTrader 5. Jukwaa madhubuti la majozi ya sarafu na financial instruments zingine zinazofanya trade ya CFD, MetaTrader 5 inaweza kupakuliwa kwenye Exness bila malipo.

Jukwaa lenye uwezo la vipengee vingi

Toleo la tano la majukwaa ya MetaTrader, MetaTrader 5 hutoa utendaji na vipengele bora kuliko toleo la awali na kwa haraka likawa mojawapo ya majukwaa maarufu ya kutrade na traders wa fedha za kigeni wa mtandaoni na huduma za wakala duniani kote.

Matumizi ya MetaTrader 5

Uchambuzi wa kimsingi na wa kiufundi, ishara za trade, trade ya algoriti - jukwaa la trade hutoa safu ya vifaa vinavyoboresha uzoefu wa kutrade. Jukwaa pia lina utangazaji wa ripoti za hivi punde za habari za kifedha kwa traders kuwasasisha kuhusu masoko.

Kwa mawimbi ya trade na uwezo wa kutrade wa kunakili katika MetaTrader 5, traders wanaweza kufuata ishara za traders waliofaulu na kunakili mikakati na orders zao za kutrade, ambayo yatatolewa kiotomatiki kwenye akaunti yako.

MetaEditor

Katika MetaTrader 5, unaweza kutengeneza roboti za kutrade na indicators za kiufundi kupitia zana maalumu ya MetaEditor. Zana hii inapounganishwa na jukwaa, mipango mipya itaonekana kiotomatiki kwenye MetaTrader 5 yako na inaweza kutekelezwa papo hapo.

Mfumo wa Hedging

Katika MetaTrader 5 ukitumia Exness, unaweza kutrade kwa kutumia muundo wa mfumo wa hedging. Hedging hukuruhusu kufungua positions nyingi, hata positions tofauti kabisa, kwa instrument ya kutrade.

Uchanganuzi wa Kimsingi

Pata fursa za soko kwa vifaa vya uchanganuzi wa kimsingi kwenye MetaTrader 5, kama vile Kalenda ya Kiuchumi iliyojengewa ndani. Endelea kupata habari za hivi punde, athari za soko na ubashiri.

Indicators na Vifaa vya Uchanganuzi

Boresha hali yako ya utumiaji ya kutrade kwa indicators 38 zilizojengewa ndani, vifaa 22 vya uchanganuzi na vifaa 46 vya picha unapofanya trade ya financial instruments katika jukwaa la biashara.

Kufanya Trade kwa Simu na MetaTrader 5

Terminali ya biashara sio tu cha kompyuta za mezani za Windows, macOS na Linux. Traders walio na ratiba nyingi wanaweza pia kutrade wakitumia simu kwenye simu mahiri na kompyuta vibao za iOS na Android. Ukiwa na zana zote muhimu za kutrade, ikiwa ni pamoja na orders za kutrade, chati shirikishi na zana maarufu za uchanganuzi, unaweza kufuatilia akaunti yako na kufanya trade ya simu kwa kubofya mara moja.

Unachoweza kutrade kwenye MT5

Katika Exness, unaweza kufurahia kufanya trade ya CFD katika zaidi ya instruments 200, ambazo ni pamoja na kufanya trade ya jozi za sarafu za forex, metali, cryptocurrencies, stocks, indices na nishati.

Forex

Kuna zaidi ya majozi 100 ya sarafu yanayopatikana kwa trade ya CFD kwenye MT5 katika Exness. Tunatoa jozi za sarafu kuu, ikiwa ni pamoja na EURUSD, GBPUSD na USDJPY, na jozi za sarafu ndogo. Pia kuna orodha ndefu ya majozi nadra yanayopatikana kufanyia trade ya CFD.

Pata maelezo zaidi

Metali

Kwenye MT5 ukitumia Exness, unaweza kufanya trade ya CFD kwenye metali kwa njia ya jozi za sarafu, ambazo ni pamoja na XAUUSD, XAUEUR, XAUGBP na XAUAUD kwa dhahabu na XAGUSD, XAGEUR, XAGGBP na XAGAUD kwa fedha. Unaweza pia kufanya biashara kwa platinamu (XPT) na paladiamu (XPD) kwa jozi za sarafu.

Pata maelezo zaidi

Nishati

Weka hedge kwenye portfolio yako kwenye MT5 ukitumia Exness na ufanye trade ya CFDs kwenye nishati maarufu kama vile brent crude oil (UKOIL), mafuta ghafi (USOIL) na gesi asilia (XNGUSD) kwa masharti bora kuliko ya soko.

Pata maelezo zaidi

Hisa

Fikia chaguo mbalimbali za CFDs za stock unapofanya biashara kwenye MT5 ukitumia Exness. Trade stocks za CFD kutoka kwa tasnia mbalimbali, kama vile teknolojia (APPL, META), bidhaa na huduma zisizo za msingi (TSLA), bidhaa na huduma za msingi (KO) na zingine.

Pata maelezo zaidi

Fahirisi

Panua portfolio yako na ufanye trade ya CFD kwa indices kuu za stocks kutoka Marekani, Uingereza, Ujerumani, Japani na Uchina kwenye MT5 ukitumia Exness. Fikia indices maarufu za kimataifa kama vile Dow Jones, NASDAQ, FTSE 100, na NIKKEI 225.

Pata maelezo zaidi

Cryptocurrencies

Unaweza kutrade katika sarafu maarufu zaidi za crypto katika jozi za sarafu kwenye MetaTrader 5. Hizi ni pamoja na CFD kwenye Bitcoin, Ethereum na Litecoin, huku Bitcoin ikipatikana katika BTCUSD, BTCKRW, BTCJPY na zaidi.

Pata maelezo zaidi

Je, kwa nini utumie Exness

Masharti bora kuliko ya soko, vipengele vya kipekee na usalama wa kiwango cha juu, pamoja na kujitolea kwetu kwa uwazi na huduma bora kwa mteja, ndizo sababu zinazofanya traders waendelee kuchagua Exness.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi zaidi

Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.

Pakua MetaTrader 5

Fanya trade bila kuchagua instrument moja badala ya nyingine ukitumia jukwaa maarufu zaidi.