Terminali ya Exness

Tumia ubunifu wako kufanya biashara ukitumia programu ya web trader ya exness web terminal iliyo na vipengele vya hali ya juu.

Fanya biashara zaidi, ukitumia exness web terminal ya kasi ya juu, iliyogeuzwa ikufae

Trade kwa urahisi kwenye Terminali ya Exness, jukwaa salama na iliyorahisishwa ya Exness web terminal la web trader kwa ajili ya kutrade zaidi ya CFDs mia moja maarufu zaidi.

Orodha ya kutazama

Pata bei na mienendo ya wakati halisi kwenye orodha ya kutazama ya Exness web terminal ambayo ina orodha za instruments zote zinazopatikana za biashara.

Hali ya biashara ya mbofyo mmoja

Fungua na ufunge orders mara moja ukichagua kutoka kwa orodha ya vigae ya instruments za kutrade na kutumia sehemu ya Limit Order kwa pending orders.

Sehemu ya portfolio

Fuatilia orders zako katika sehemu ya portfolio kwa maelezo kama vile aina, kiwango, bei, take profit, stop loss, muda wa kufunguliwa, swap, na faida na hasara.

Vichupo vya instrument

Chagua kutoka kwa aina nyingi za chati zinazopatikana na uzibadilishe zikufae ukitumia indicators, zana za kuchora na zaidi. Chati hutolewa na TradingView.

Usimamizi wa akaunti ya kutrade

Tazama maelezo ya akaunti yako kama vile historia ya biashara, salio, equity, margin, free margin, margin level na mipangilio ya leverage katika muda halisi na uweke au utoe pesa.

Aina za akaunti

Furahia uwezo wa kubadilika kwenye jukwaa la web trader ambalo linaoana na aina zote za akaunti za kutrade za Exness ambazo zinaweza kutumika kwa MetaTrader 5.

Je, kwa nini utumie Exness

Masharti bora kuliko ya soko, vipengele vya kipekee na usalama wa kiwango cha juu, pamoja na kujitolea kwetu kwa uwazi na huduma bora kwa mteja, ndizo sababu zinazofanya traders waendelee kuchagua Exness.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi zaidi

Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.

Tumia Terminali ya Exness

Gundua manufaa ya kufanya biashara ukitumia programu rahisi kutumiwa na mtumiaji ya web trader app.