Uwekaji na uondoaji wa pesa

Furahia urahisi na usalama wa hatua za uwekaji na uondoaji wa pesa katika Exness. Furahia njia za malipo za ndani, zinazofaa na salama na transactions bila hitilafu.

Uzoefu usio na msuguano kuanzia mwanzo hadi mwisho

Nufaika na mfumo wetu wa kipekee wa malipo: hatua za uwekaji fedha bila hitilafu kupitia mifumo ya malipo ya kimataifa na ya kieneo, ufikiaji wa 24/7 na utoaji wa funds bila hitilafu.

Njia za malipo zinazokufaa

Njia za malipo za kimataifa, za kieneo na salama kwa hatua za uwekaji na uondoaji wa pesa bila hitilafu.

Pesa yako ni yako. Usiwe na shaka

Pata funds zako siku yoyote, wakati wowote kupitia kipengele chetu cha utoaji fedha wa papo hapo.¹

Hakuna ada za utoaji fedha²

Unapoweka na unapotoa pesa, tunalipa ada zako za transaction za wengine ili usigharamike.

Pesa zako ziko salama nasi

Kama broker mkuu wa rejareja wa mali nyingi duniani, tumeweka viwango vingi vya usalama ili kuweka funds zako salama na uzipate mara moja unapotuma ombi.

Akaunti zilizotengwa

Tunaweka funds katika akaunti zilizotengwa katika benki nyingi za kiwango cha juu ili kuhakikisha usalama wa hali ya juu na utulivu.


Transactions salama za utoaji fedha

Hatua za utoaji fedha ni salama, zinalindwa na njia za uthibitishaji wa nenosiri la mara moja.


Imethibitishwa na PCI DSS

Tumetimiza masharti ya PCI DSS ya usalama wa data ya mwenye kadi.


Malipo salama ya 3D

Kwa uwekaji na uondoaji wa pesa, tunatoa malipo salama ya 3D kwa kadi zote kuu za mkopo kama vile Visa na Mastercard.

Weka funds zako kutumia hatua 3 rahisi

Hatua ya 1

Sajili na uthibitishe akaunti yako

Hatua ya 2

Chagua mojawapo ya njia za malipo zinazopatikana

Hatua ya 3

Kamilisha ombi lako la kuweka pesa

Maswali yanayoulizwa sana

Neno “papo hapo” linamaanisha kuwa transaction itafanyika ndani ya sekunde chache bila kuchakatwa na wataalamu wetu wa idara ya fedha. Tafadhali kumbuka kuwa ingawa inachakatwa papo hapo kwa upande wetu, maombi yako ya uwekaji na uondoaji wa pesa yanaweza kuchukua muda kuchakatwa kwa upande wa mtoa huduma wa mfumo wa malipo.

Kwa upande wa Exness maombi yote ya utoaji fedha huchakatwa papo hapo. Kisha ombi lako la utoaji fedha hutumwa kwa wachakataji wa kadi zetu na benki yako, na mchakato mzima unaweza kuchukua kati ya siku 1 hadi 30 za kazi ili pesa zionekane kwenye akaunti yako ya benki kulingana na benki na nchi uliyopo.

Funds zinaweza kutolewa kwenye akaunti zako za kibinafsi pekee. Huu ni ulinzi uliowekwa ili kuhakikisha usalama wa fedha.

Sharti utumie akaunti zako za malipo za kibinafsi kwa uwekaji na uondoaji wa pesa. Hatutaruhusu malipo ya moja kwa moja au malipo kwa wengine. Maelezo yote unayohitaji kuhusu transactions yanaweza kupatikana katika Eneo lako la Binafsi. Ikiwa njia yako ya malipo ya uwekaji fedha haipatikani wakati wa utoaji fedha, wasiliana na timu ya Usaidizi kupitia gumzo ili upate suluhisho mbadala. Mara kwa mara, baadhi ya mifumo ya malipo inaweza kuzimwa kwa ajili ya matengenezo.

Uwekaji na uondoaji wa pesa unaweza kutekelezwa 24/7. Ikiwa hatua ya uwekaji au utoaji fedha sio ya papo hapo, tutaichakata ndani ya saa 24. Kumbuka, benki yako au huduma yako ya malipo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi. Hatutawajibikia ucheleweshaji wowote wa uchakataji wa hatua ya uwekaji na utoaji fedha unaosababishwa na mifumo ya malipo. Tunaweza kubadilisha muda wa uchakataji wa uwekaji na uondoaji wa pesa bila kukuarifu mapema.

Hapana, huwezi kutoa pesa kutoka kwa akaunti yako ya demo. Akaunti za demo ni akaunti pepe za kutrade zinazotumiwa kufanya mazoezi ya biashara na mikakati, na fedha zilizomo ni pepe.

Boresha jinsi unafanya biashara

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.