Programu ya MetaTrader 5

Boresha trade yako ukitumia mt5 app iliyoboreshwa

Pata kila kitu unachohitaji ili kufanya trade ya kiwango cha juu katika programu moja ya kifaa cha mkononi yenye vipengele vingi na ambayo ni rahisi kutumia. Pakua MetaTrader 5 ya iOS au Android na uanze kutrade katika masoko mbalimbali kwa execution ya mkakati katika wakati halisi. Jionee mwenyewe faida za kutrade kwenye MT5 katika Exness.

Vipengele vyote unavyohitaji katika MT5 app ya kifaa cha mkononi

Boresha biashara yako ya CFD ukitumia programu ya MetaTrader 5 na zana zake za kiwango cha juu na vipengele vilivyoimarishwa vya mitindo na mikakati yote ya biashara, wakati wowote, mahali popote.

Biashara ya haraka na rahisi

Fuatilia hali ya akaunti yako, fuatilia historia yako ya biashara, na ununue na uuze instruments za kifedha kwa mbofyo mmoja.

Arifa na taarifa za habari

Endelea kupata habari na matukio mapya ya soko na mabadiliko ya bei kupitia arifa na taarifa.

Seti kamili ya orders za biashara

MT5 app huja na seti kamili ya orders za biashara ikiwa ni pamoja na Buy Stop Limit na Sell Stop.

Ufikiaji wa instruments zote za biashara

Fanya trade kwenye instruments zote zinazopatikana kwenye programu ya MetaTrader 5 ya iOS na Android, ikiwa ni pamoja na CFDs kwenye forex, stocks, indices, bidhaa na crypto. Kwenye sehemu ya Taarifa za Soko ya MetaTrader, unaweza kufuatilia bei za wakati halisi, spreads na zaidi kwa kila CFD inayopatikana.³

XAUUSD

Dhahabu ikilinganishwa na Dola ya Marekani

EURUSD

Euro ikilinganishwa na Dola ya Marekani

GBPUSD

Pauni ya Uingereza ikilinganishwa na Dola ya Marekani

US30

Index 30 za Wall Street ya Marekani

US500

Index 500 za SPX za Marekani

TSLA

Tesla Inc.

AAPL

Apple Inc.

USDJPY

Dola ya Marekani ikilinganishwa na Yen ya Japani

XNGUSD

Gesi ya Asili ikilinganishwa na Dola ya Marekani

BTCUSD

Bitcoin ikilinganishwa na Dola ya Marekani

ETHUSD

Ethereum ikilinganishwa na Dola ya Marekani

USOIL

Mafuta Ghafi

XAUUSD

Dhahabu ikilinganishwa na Dola ya Marekani

EURUSD

Euro ikilinganishwa na Dola ya Marekani

GBPUSD

Pauni ya Uingereza ikilinganishwa na Dola ya Marekani

US30

Index 30 za Wall Street ya Marekani

US500

Index 500 za SPX za Marekani

TSLA

Tesla Inc.

AAPL

Apple Inc.

USDJPY

Dola ya Marekani ikilinganishwa na Yen ya Japani

XNGUSD

Gesi ya Asili ikilinganishwa na Dola ya Marekani

BTCUSD

Bitcoin ikilinganishwa na Dola ya Marekani

ETHUSD

Ethereum ikilinganishwa na Dola ya Marekani

USOIL

Mafuta Ghafi

Uchanganuzi wa kina

MetaTrader ni jukwaa linalopendelewa na traders wenye uzoefu kwa sababu lina indicators zaidi ya 40 zilizosanidiwa ndani, indicators zinazoweza kuwekewa mapendeleo na kalenda ya kiuchumi. Takriban kila kipengele cha chati kinaweza kurekebishwa upendavyo na miunganisho mingi ya indicators inapatikana.

Aina 3 za chati

Tumia chati za baa, vinara vya Kijapani na chati za mstari ili kukusaidia katika trades zako.

Uchanganuzi wa kiufundi uliosanidiwa ndani

Changanua masoko na upange mkakati wako kwa kutumia undicators 30 kuu na vyombo 24 vya uchanganuzi.

Timeframes 9

Fanya biashara kwa kutumia timeframes M1, M5, M15, M30, H1, H4, D1, W1 na MN ili kuendana na mtindo uliochagua wa biashara.

Kwanini ufanye biashara kwenye MetaTrader 5 app ukitumia Exness

Fanya trade ya forex, stocks, crypto na instruments nyingine ukiwa na broker wataalamu na jukwaa la biashara la kifaa cha mkononi ambalo ni rahisi kutumiwa na watumiaji, lenye vipengele vingi, na ufanyaji biashara kwa urahisi.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi ya juu

Kuwa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu. Orders zako zitatekelezwa katika milisekunde kwenye MetaTrader 5 katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia Ulinzi wa kipekee dhidi ya Stop Out unapofanya trade katika Exness, ukiimarisha positions zako wakati wa kuongezeka kwa volatility.

Maswali yanayoulizwa sana

Programu ya MT5 ni ya kutrade pekee. Ikiwa ungependa kudhibiti akaunti yako, kuweka na kutoa pesa, kufungua na kufunga trades ndani ya programu moja, angalia programu yetu ya Exness Trade.

Hapana, huwezi kutumia maelezo ya kuingia kwenye MetaTrader 5 app kuingia kwenye akaunti ya MetaTrader 4. Maelezo ya kuingia kwenye akaunti ni ya kipekee kwa jukwaa ambalo yalitumika kuingia, na hayawezi kutumika kufikia terminali zingine zozote za biashara.

Boresha trades zako ukitumia MetaTrader 5 ya iOS au MetaTrader 5 ya Android

Boresha kiwango chako cha biashara ukiwa na wataalamu wa programu na traders wenye uzoefu wanaoaminika.