Biashara ya Crypto

Fanya biashara ya cryptocurrencies maarufu zaidi duniani, swap-free.

Akaunti

Aina ya utekelezaji

Soko

Ishara
Spread wastani
pips
Ada
kwa kila lot/upande
Margin
Long swap
pips
Short swap
pips
Stop level*
pips

Saa za kufanya biashara

Unaweza kufanya biashara ya cryptocurrencies 24/7 isipokuwa wakati wa matengenezo ya seva. Tutakujulisha kupitia barua pepe wakati matengenezo haya yatafanyika.

Jozi zilizo hapa chini za cryptocurrency zina mabadiliko ya bei:

  • BTCAUD, BTCJPY, BTCCNH, BTCTHB, BTCZAR: Jumapili kuanzia saa 20:35 hadi 21:05
  • BTCXAU, BTCXAG: siku ya Jumapili kuanzia saa 21:35 hadi 22:05
  • BTCKRW: kuanzia saa 21:00 siku ya Ijumaa hadi 23:30 Jumapili

Muda wote uko katika saa za seva (GMT+0).

Spreads

Spreads huelea kila wakati, kwa hivyo spreads kwenye jedwali hapo juu ni wastani wa jana. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa lako la biashara.

Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.

Masharti ya margin yasiyobadilika

Masharti ya margin kwa jozi zote za cryptocurrencies hayawezi kubadilika, bila kujali leverage unayotumia.

Swaps

Hakuna ada za swap kwenye positions za cryptocurrency.

Maswali yanayoulizwa sana

Haya hapa ni maswali yanayoulizwa sana kuhusu kufanya biashara ya cryptocurrencies ukitumia Exness.

Tunatoa trade saa 24/7 kwa cryptocurrencies zote, isipokuwa kwenye jozi chache za cryptocurrency (tazama hapo juu). Ikiwa kuna matengenezo yoyote ya seva, tutakujulisha.

Unaweza kuweka hedge kwenye positions za cryptocurrency zenye hedged margin ya 0%. Tafadhali kumbuka, kwa BCHUSD, ETHUSD, XRPUSD na LTCUSD, huwezi kufunga orders kwa kiasi cha chini ya lot 0.1 (lot 10 kwa XRPUSD) kwa kuweka hedge/kufunga sehemu fulani.

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Cryptocurrencies zilizo kwenye jedwali lililo hapo juu zinapatikana kufanyiwa biashara kwenye akaunti za MT5. Crypto nyingi zilizoorodheshwa pia zinaweza kufanyiwa biashara kwenye akaunti za MT4, isipokuwa zifuatazo, ambazo zinapatikana tu kwenye MT5: XRPUSD, AAVEUSD, LINKUSD, IOSTUSD, DOGEUSD, COMPUSD, THETAUSD, CAKEUSD, MATICUSD, HTUSD, MANAUSDUSD, HBARUSD, 1INCH.

Fanya biashara ya crypto 24/7

Nufaika na jozi maarufu zaidi za cryptocurrency ulimwenguni