Boresha jinsi unafanya trade

Fanya biashara na broker mkubwa zaidi wa rejareja duniani na ufaidike na masharti bora kuliko za soko.

Traders zaidi ya 700,000 wanaoendeleza biashara

Leseni nyingi za udhibiti

Huduma kwa mteja ya 24/7 kwa lugha nyingi

Imeidhinishwa na PCI DSS

Fanya biashara bila malengo yanayokinzana

Utoaji fedha
Utoaji fedha wa papo hapo

Pata uidhinishaji wa hatua zako za uwekaji na utoaji fedha pindi utakapobofya kitufe.¹

Stop outs
Stop outs chache kwa 30%

Fanya biashara online bila kikomo ukiwa na kipengele chetu cha Ulinzi dhidi ya Stop Out.

Kasi ya execution
Execution ya haraka zaidi

Fanya biashara online bila malengo yanayokinzana

Swaps
Hakuna ada za usiku kucha

Shikilia positions zako zenye leverage kwa muda upendao, swap-free. Sheria na masharti hutumika.

Fanya biashara ya mali kutoka kwa masoko ya kimataifa

Nufaika na kila fursa ukitumia mali maarufu zaidi ulimwenguni.

InstrumentsLeverageSpread wastani, pipsSwap-free

XAUUSD

Dhahabu ikilinganishwa na Dola ya Marekani

Metali

USOIL

Mafuta Ghafi

Nishati

EURUSD

Euro ikilinganishwa na Dola ya Marekani

Sarafu

US30

Index 30 za Wall Street ya Marekani

Fahirisi

AAPL

Apple Inc.

Hisa

Chukua fursa yoyote

Fanya biashara online kwa wakati wowote, mahali popote. Kwenye tovuti, kifaa cha mkononi na kompyuta ya mezani.

Tunaupa usalama wako kipaumbele

Kuanzia kwa malipo salama hadi ulinzi dhidi ya salio hasi, unalindwa kutoka kila pembe.

Fanya biashara bila wasiwasi

Takwimu zinaonyesha jinsi ilivyo. Fanya biashara kwa usaidizi wa broker wa kiwango cha juu zaidi wa rejareja duniani.

$ trilioni 4

kiwango cha biashara cha kila mwezi

Bilioni 1.9

trades zilizotekelezwa mnamo 2023

64,000+

washirika waliosajiliwa

4.6

Ukadiriaji wa Trustpilot

Pata taarifa mpya za masoko

Pata habari za hivi punde za soko, uchanganuzi wa biashara na masasisho ya vipengele.

Fanya biashara na broker anayeaminika leo

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 700,000 na washirika 64,000.