Trading Central WebTV

Tazama habari za hivi punde moja kwa moja kutoka kwenye New York Stock Exchange. Video za kila siku hutoa maoni ya soko na dhana za kutrade kutoka Trading Central, mtoa huduma wa utafiti wa uwekezaji anayeongoza katika sekta.

Vipengele vikuu vya Trading Central WebTV

Hapa, unaweza kutazama mitiririko ya video ya habari za kifedha, ambazo hutangazwa moja kwa moja kutoka New York Stock Exchange. Video hizi zimewekewa maoni ya soko na dhana za kutrade zinazoweza kutekelezwa kutoka kwa Trading Central, mtoa huduma mkuu wa utafiti wa uwekezaji wa kifedha katika sekta, ili kukupa maarifa ya kina kuhusu masoko.

Mitiririko ya video husasishwa karibu 12:00 GMT kila siku ya kutrade, kabla au wakati wa ufunguzi wa NYSE, ili traders wapate masasisho ya kila siku.

Maswali yanayoulizwa sana

Matangazo na rekodi za Trading Central moja kwa moja kutoka New York Stock Exchange, na kutoa muhtasari huru kuhusu mienendo ya soko. Mawazo shirikishi ya kutrade na maoni ya kifedha yameunganishwa na habari maarufu za tasnia ili kuwafahamisha traders kuhusu matukio ya hivi punde kwenye masoko.

Mitiririko ya video husasishwa kila siku ya kutrade takriban saa 12:00 GMT, kabla au wakati wa ufunguzi wa NYSE.

WebTV hailipishwi na inapatikana kwa traders wote na watazamaji wa umma.

Boresha jinsi unafanya biashara

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 700,000 na washirika 64,000.